Utafiti wa Infotrack

Iwapo uchaguzi  ungefanyika leo katika kaunti za meru na bomet, basi peter munya na isaac ruto wangehifadhi  viti vyao.

Hata hivyo wawili hao wana kibarua cha kujipalilia umaarufu ikizingatiwa kuwa pengo  baina yao na wapinzani wao wa karibu ni dogo mno. Haya ni kulingana na utafiti wa kampuni ya infotrack.