Aliyekuwa naibu rais Emmerson Mnangagwa kuapishwa kama rais

Huenda taifa la Zimbabwe likapata rais mpya kufikia siku ya ijumaa. Hii ni baada ya chama cha Zanu-Pf kuwasilisha jina la aliyekuwa Naibu Rais Emmerson Mnangagwa kama chaguo atakayeongoza taifa hilo  baada ya Rais Mugabe kujiuzulu mamlakani hapo jana.

latest stories