Baadhi ya dawa za kukohowa zatumika kama vileo

Imeibuka kuwa mtindo mpya wa vijana kununua dawa ya kukohoa kwa ili minajili ya kujilewesha hatimaye huenda ikapata suluhu. Hii ni baada ya bodi ya famasia na sumu kuagiza maduka yote ya kuuza dawa kutouza dawa yoyote iliyo na kemikali ya codeine bila agizo la daktari.

latest stories