Angalau watu 4 hufa kila mwaka kwenye daraja la Sinyereri, Trans Nzoia

Katika kijiji Sinyereri kaunti ya Trans Nzoia kuna daraja ambalo limegeuka kuwa daraja la mauti. Kama anavyoaarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wenyeji wanasema kila mwaka kati ya watu watatu hadi wanne huangamia kwa kusombwa na maji wakijaribu kuvuka daraja hilo.

latest stories