Viongozi wa Cord Raila odinga na Kalonzo Musyoka hii leo wamekita kambi katika maeneo ya Nyanza

Viongozi wa Cord Raila Odinga na Kalonzo Musyoka hii leo wamekita kambi katika maeneo ya Nyanza katika kampeni za mwisho mwisho kuwashawishi wakazi kujiandikisha kuwa wapiga kura. Odinga ambaye alizungumza akiwa kisumu na baadaye kuelekea Kisii ameitaka tume ya uchaguzi iebc kusafisha sajili ya wapiga kura kuwaondoa wapiga kura ghushi, huku naye Kalonzo akikionya chama cha Jubilee kutofanya njama yoyote kuiba uchgauzi ujao.

Sam Gituku na taarifa hiyo…