Chemchemi za maji zakauka katika msitu wa Chyulu

Ukataji miti na uchomaji makaa katika msitu wa Chyulu kaunti ya Makueni unatishia kuangamiza chemichemi zote za maji. Tayari mito sita iliyokuwa ikitengemewa kwenye kaunti hiyo imekauka kutokana na uharibifu wa mazingira.

latest stories