Chama cha mashinani chaandaa mkutano Bomet

Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Uzalendo Wavinya Ndeti hii leo anapimana nguvu tena na naibu gavana wa kaunti ya Machakos Bernard Kiala katika marudio ya kura ya mchujo ya chama cha Wiper. Haya na mengine katika mkusanyiko ufwatao wa siasa za NASA.

latest stories