Bunge la Nairobi lapiga marufuku biashara ya ukahaba

Serikali ya Kaunti ya Nairobi imepitisha mswada kupiga marufuku biashara ya ukahaba hasa jijini Nairobi.