Bei ya unga wa sima kuzidi kupanda

Wasaga nafaka humu nchini wameonya kuwa bei ya unga wa mahindi itapanda, baada ya wengi wao kumaliza hifadhi za mahindi ya bei nafuu.