Mahakama yaharamisha matumizi ya ‘Alcoblow’ babarani

Mahakama ya rufaa hii leo imeharamisha matumizi ya kifaa cha kupima kiwango cha ulevi miongoni mwa madereva kwa lugha ya kiingereza ‘Alcoblow’. Ikitoa uamuzi huo mahakama hio imedokeza kuwa sheria za alcoblow haziambatani na sheria za trafiki.