Mito ya Nyeri yakauka

Huku msimu wa kiangazi ukiendelea, baadhi ya mito katika Kaunti ya Nyeri imeanza kukauka. wakaazi wameanza kupata dhiki kutokana na uhaba wa maji huku wanaotunza mazingira wakitaka hatua za haraka kuchukuliwa kusitisha ukataji miti na kuhifadhi mito.