Dereva awatekeleza wasafari baada ya kuangukia mtego wa NTSA

Maafisa wa mamlaka ya uchukuzi na  usalama barabarani NTSA walifanya msako wa magari ya usafiri wa umma yaliyogeuzwa kuwa ya masafa marefu bila idhini pamoja na madereva walevi.