Seneta Gideon Moi amshambulia William Ruto

 

Seneta wa baringo Gideon Moi amemshambulia naibu rais William ruto akisema usemi kwamba wafuasi wake wanafaa kujiandaa kuvuna matunda ya uongozi ifikapo uchaguzi wa mwaka wa 2022 ni dhana tu kwa kuwa uwanja wa kisiasa huenda ukabadilika.

Moi ambaye alizungumza katika kaunti ya Elgeyo Marakwet aliungana na viongozi wengine kumkosoa ruto ambaye hata hivyo ameungwa mkono na viongozi kadhaa kutoka eneo la bonde la ufa katika kaunti ya Kericho.

latest stories