Matiang’i atoa onyo kwa wanaojaribu kulemeza agizo la kuhamishwa kwa walimu

Kaimu waziri wa elimu Dkt. Fred Matiang’i leo hii ametoa onyo kali dhidi ya wale wanaotumia fujo kutatiza zoezi la uhamisho wa walimu wakuu. Matiang’i aidha aligusia mikakati ya kuwahusisha makamishna wa kaunti kuhakikisha sio tu usalama katika mashule bali pia katika kuhakikisha kuwa masharti haswa ya karo za shule yanazingatiwa.

latest stories