Idadi ya maafisa waliouawa Lomelo yafikia 4

Idadi ya maafisa wa polisi waliouawa na majambazi hapo jana walipokuwa wakisafirisha mitihani huko Kapedo imefikia wanne. Maafisa wawili zaidi wa polisi waliaga dunia hii leo huku maiti ya mmoja wao ikipatikana kichakani.

latest stories