Watu watatu wafariki Bomet

Watu watatu wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani  eneo la Kamureito, kaunti ya Bomet asubuhi ya leo walipokua wakielekea katika sherehe ya mahafala ya chuo kikuu cha masaai mara mjini  narok. wakati huo huo chuo kikuu Cha Nairobi kimeandaa sherehe kama hiyo  hapa jijini Nairobi ambapo  wahitimu 8 500 walitunukiwa vyeti na shahada mbalimbali. mwanahabari wetu Fathma weso na taarifa hizo kwa kina.