Walimu watatizwa na utekelezaji wa mtaala mpya

Katika kongamano lililoleta pamoja walimu wakuu wa shule za msingi za umma katika kaunti ya Nairobi, wakisema bado hawajapata wa vifaa vinavyotarajiwa kutekeleza mtala huo.