Wadau wa sekta ya elimu washinikiza kuhusishwa katika mabadiliko

Wizara ya elimu imeongeza muda wa usajili wa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi tarehe 17 ya mwezi huu wa Januari. Hii inafuatia kujitokeza idadi ndogo ya wanafunzi waliofika kwenye shule walizoitwa ndani ya muda uliokuwa umeainishwa. Huku hayo yakijiri agizo la waziri Matiang’i la kutaka mabasi yote ya shule yapakwe rangi ya njamo linaonekana kuibua mjadala mkali kama anavyoripoti laura otieno