Vijana watoweka kwale

Jumla ya vijana watano waendashaji boda boda wametekwa nyara na watu wasiojulikana katika maeneo ya Diani na Ukunda katika kaunti ya Kwale  chini ya muda wa miezi miwili iliyopita. inadaiwa kuwa vijana wanaopotea wanalazimishwa kujiunga na kundi ya alshabaab au wanauawa kiholela. Nicky Gitonga anatupasha zaidi kutoka kwale.