Uhuru aongoza mkutano wa kupanga kampeni za Jubilee

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa ataibuka mshindi uchaguzi ukiandaliwa tena. Kenyatta ambaye alizuru kaunti ya Nakuru akiandamana na naibu wake William Ruto wamewakashifi viongozi wa upinzani na kuwataja kama wasiokibali kushindwa.