Siku ya watu wanaoishi na ulemavu yaadhimishwa

Kenya imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya watu wanaoishi na ulemavu. Serikali na wadau mbalimbali wametakiwa kuhakikisha kuwa sheria zinazolinda maslahi ya walemavu zinatekelezwa kikamilifu.