Rais amtaka Raila kutoingiza siasa kwenye ufisadi

Rais Uhuru Kenyatta amemtetea mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua kwa madai kuwa aliidhinisha malipo ya shilingi milion 400 kwa kampuni zinazodaiwa kuwa na kandarasi katika wizara ya afya. Rais Kenyatta akizungumza katika kaunti ya bungoma, amesema kuwa pesa hizo zilitumika kwa ununuzi wa madawa katikahospitali kadhaa humu nchini. Haya yanajiri huku wizara ya afya ikikumbwa na sakata ya shilingi bilioni tano zinazohofiwa kufujwa. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

latest stories