Murkomen ageuzia kibao wanakamati wa PAC

Kamati ya bunge kuhusu uhasibu wa fedha za umma inaendelea na uchunguzi wake dhidi ya watuhumiwa wa sakata ya NYS.  Zamu nyingine ya  wakili Hillay Sigei anayewakilisha kampuni ya kutoa huduma za uwakili inayomhusisha Seneta Kipchumba Murkomen leo ilijaa majibizano ambayo hayakutoa mwelekeo wa majibu ya maswali ambayo kamati hiyo ilitaka yajibiwe.