Mtoto mmoja afariki baada ya kupewa chanjo ya Surua

katika kaunti ya Bomet, mtoto mmoja aliaga dunia hapo jana baada ya kupokea chanjo ya ugonjwa wa Surua. Mtoto huyo aliyepelekwa katika hospitali ya Tenwek alikuwa na wengine tano waliopewa chanjo hiyo siku ya jumatatu. Hatua hii imeilazimu serikali ya kaunti ya bomet kuairisha operesheni ya chanjo hiyo.