Mtoto auawa na nguvu ya umeme huko Kimende, Kiambu

Wanakijiji wa Kimende wanaomboleza kifo cha msichana wa miaka kumi na mitatu ambaye alipigwa na umeme alipotumwa na mamake dukani. Inaarifiwa kuwa alikumbana na mauti aliposhika nyaya za umeme zilizokuwa zikinging’inia pembeni mwa ua.

latest stories