Mfu Aibiwa Mavazi

Mfu Aibiwa Mavazi

Mtazamaji, ushawahi kusikia maiti ameibiwa? Basi kama hujaskia utashangaa na tukio hili ambapo familia ya jamaa mmoja mwenda zake walifika katika hifadhi ya maiti ya Gakwegori, Kaunti ya Embu na kubakia vinywa wazi, walipopata suti na sanda za bei ghali walizokuwa wamemnunulia ili asitiriwe nazo zilikuwa zimebadilishwa na kuvalishwa zingine duni. Gatete Njoroge na taarifa hiyo