Kumkanda mama mjamzito kuna manufaa na madhara

Wakunga ni kina mama wanaotambulika sana haswa katika sehemu za vijijini kutokana na huduma zao kwa kina mama wajawazito, huduma zinazohitajika kuzikimbiliwa na wajawazito wakati wa dharura hususan wanapokuwa mbali na hospitali. Hata hivyo la kutamausha ni kwamba baadhi ya wakunga hao na wengine waliojbandikiwa jina la wakandaji wamejitwika majumu ambayo hayapo katika taaluma ya utabibu, majukumu ambayo yameonekana kusababisha madhara mengi kwa kina mama wajawazito. Katika siha na maumbile hii tunaangazia athari za mbinu wanazotua hao wakandaji kwa kisisingizio cha kumpa huduma mama mjamzito.

latest stories