Kiwanda ghushi chalipuka Eastleigh

Kizaazaa kimezuka mtaani Eastleigh hapa jijini Nairobi baada ya kiwanda kinachotengeneza sabuni katika eneo la 9 street kulipuka ghafla jioni ya leo. Hakuna yeyote aliyefariki katika kisa hicho.