Je, unamjua kelemendi?

Sio wengi ambao wanaweza kujivunia kuwa na marafiki kwenye ngazi za juu za uongozi ilhali wenyewe wanaishi maisha duni. Clement Kipkoech Koskei almaarufu kilemendi ni rafiki yake naibu Rais William Ruto tangu utotoni. Na japo maisha yao yalichukua mwelekeo tofauti, urafiki wao unazidi kuwa mshiko licha ya maisha tofauti wanayoishi.je, huyu kilemendi ni nani?