Jamii yahangaishwa na matatizo ya ngozi Turkana

Kwa Zaidi ya miaka hamsini tangu tupate uhuru,kuna jamii ambayo haijawahi kusajiliwa katika madaftari ya kumbukumbu  kama mojawepo ya makabila yanayopatika na kuishi Turkana licha ya kuwa si Waturkana. Hali hii imesababisha watu kutoka jamii hii kukumbana na matatizo si haba. Hasa  wanapotafuta huduma kutoka kwenye taasisi za serikali. Mwanahabari wetu Cheboit Emmanuel amefuatilia jamii hii yenye watu wachache zaidi humu nchini  wanaojiita  iiimanyang na kuandaa taarifa ifuatayo.