Jamaa aliyekatwa sehemu za siri afariki

Mwanamume mmoja ameaga dunia baada ya kushambuliwa na mkewe aliyezikata sehemu zake za siri mtaani Dandora hapa jijini. Hii hapa taarifa hiyo na nyingine kwenye habari zetu za kaunti jioni ya leo.