Paul Lonyangata na mkewe waliibuka washindi katika mbio za Paris

Wanaishi maisha yasiyo na mwbwembwe za aina yoyote.. Mtazamaji sio wengine bali ni Purity Rionoripo na mumewe Paul Lonyangata walioshinda kwa kuwa nambari ya kwanza katika mbio za marathon nchini Ufaransa. Na kama anavyotuja mwanahabari saida swaleh aliyepata fursa ya kukutana nao wana mipango mengi na mamilioni walioshinda huku mapenzi yao yakianza tangu utotoni.