Fred Matiang’i ni miongoni mwa mawaziri 6 waliosazwa

Katika shoka la Rais Kenyatta, amewasaza mawaziri sita akiwemo Fred Matiang’i wa elimu na kuwateuwa aliyekuwa mkurugenzi wa mashataka ya umma Keriako Tobiko, aliyekuwa seneta wa Turkana John Munyes na aliyekuwa gavana wa Marsabit ukur Yattani katika baraza la mawaziri.