Chifu Bitok husakata densi kabla ya kuhutubia hadhira

Chifu mmoja kutoka kaunti ya Uasin Gishu amewashangaza wengi jinsi anavyonengua maungo kama njia ya kuwavutia wakazi kwenye mikutano yake, tofauti kabisa na Viongozi wa serikali ambao mara nyingi wao huonekana watulivu na kufuata sheria ama wakati mwingine kutumia nguvu.