Afisa wa polisi apatikana na mitungi ya chang’aa

Afisa mmoja wa wa polisi amekamatwa  katika kaunti ya uasin gishu na maafisa wenzake  kwa kuficha  pombe aina ya changaa zaidi ya lita mia nne nyumbani kwake.bakari mwanaidi anaeleza  zaidi….