Ghasia zakumba uteuzi wa Jubilee

anthony dianga
By anthony dianga December 14, 2016 08:31 (EAT)
Add as a Preferred Source on Google
Vocalize Pre-Player Loader

Audio By Vocalize

Mchakato wa kuwachagua  wanachama watakaompigia debe rais Kenyatta na naibu wake mwakani unaonekana kuzua suitafahamu katika maeneo mbalimbali nchini. Na kama anavyotupasha mwanahabari wetu, Salim Swaleh, matukio hayo ya fujo sasa yanaonekana kuwapiga mshipa vigogo  wa juu wa Jubilee.

Join the Discussion

Share your perspective with the Citizen Digital community.

Moderation applies

Sign In to Publish

No comments yet

This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!